MSHINDI WA BSS 2025 NI MOSSES LUKA
Aliyekuwa Mshiriki wa Shindano la Kusaka Vipaji BSS) Moses Luka (DRC) ameibuka mshindi katika shindano hilo lililoanza mwishoni mwa mwaka 2024 na kumalizika Februari 28,2025
Moses ambaye ni raia wa Congo amewapiga chini washiriki wengine aliofika nao fainali kama vile Charles Burton (Dar es Salaam), Grace Celestian (Mwanza), Prisca Gretu (Babati),Saluh Kulwa (Dar es Salaam) na Martha May (Uganda).