Mkuchika atangaza kutogombea Ubunge


 WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi Maalumu George Mkuchika ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Newala Mjini mkoani Mtwara ametangaza rasmi kutogombea ubunge katika uchaguzi wa mwezi Oktoba mwaka huu.

Waziri Mkuchika ametangaza uamuzi huo kwenye kikao cha kamati kuu ya jimbo kilichokuwa na lengo la kuzungumzia mafanikio ya jimbo hilo.

Habari Zilizotrendi:

Maafisa na Askari JWTZ Wavishwa nishani

Watumishi wa umma Uganda washurutishwa kufanya mazoezi kila wiki

Waziri Mkuu afanya ukaguzi wa viwanja