Rais Samia ashiriki kwenye uapisho Namibia.


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki hafla ya uapisho wa Rais Mteule wa Jamhuri ya Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah, iliyofanyika katika Ikulu ya Windhoek leo Machi 21, 2025.

Nandi-Ndaitwah anakuwa mwanamke wa kwanza kuchaguliwa kuwa Rais wa Namibia tangu taifa hilo lipate uhuru wake tarehe 21 Machi 1990.

Habari Zilizotrendi:

Maafisa na Askari JWTZ Wavishwa nishani

Watumishi wa umma Uganda washurutishwa kufanya mazoezi kila wiki

Waziri Mkuu afanya ukaguzi wa viwanja